KANISA LA PENTEKOSTE LA KIINJILI TANZANIA (KLPKT)

Kanisa la Pentekoste la Kiinjili Tanzania (KLPKT) ni kanisa la Kikristo linaloamini na kufundisha Injili kamili ya Yesu Kristo kwa nguvu ya Roho Mtakatifu. KLPKT lipo kwa ajili ya kuhubiri Neno la Mungu, kujenga waumini katika imani ya kweli, na kuandaa watu wa Mungu kuishi maisha matakatifu yanayompendeza Bwana.

WOTE MMNAKARIBISHWA

“Lakini mtapokea nguvu akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu, nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote na Samaria, na hata mwisho wa nchi.”
— Matendo ya Mitume 1:8

KALENDA/MATUKIO YA KANISA

Uongozi/almashauri inayofanya kazi na mchungaji.

13th-15th march 2026. Marangu Kilimanjaro

Wake wote za wachungaji

20th-22nd March 2026. Marangu, Kilimanjaro

KONGAMANO LA WANAWAKE

Watu wote mnakalibishwa

2nd -5th April 2026. Marangu, Kilimanjaro

Vijana wote mnakalibishwa

11th-14th June 2026. Marangu, Kilimanjaro

Wanandoa wote mnakalibishwa

7th-9th August 2026 Marangu, Kilimanjaro

KONGAMANO LA WATOTO

Watoto wote mnakalibishwa

9th-12th December 2026 Marangu, Kilimanjaro

MARANGU HILLS ACADEMY SCHOOL

Ni shule ya awali na msingi iliyoko katika kijiji cha Marangu, Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Shule yetu inalenga kutoa elimu bora na mafunzo ya msingi kwa watoto wadogo, kuanzia darasa la chekechea hadi darasa la saba, kwa kufuata mitaala ya serikali kwa ufanisi na ubora.

MARANGU HILLS SECONDARY SCHOOL

Shule ya Marangu Hillis Secondary School ni taasisi ya elimu yenye ubora wa kipekee, inayojivunia si tu matokeo bora ya kitaaluma bali pia malezi ya uthubutu, uadilifu na uongozi miongoni mwa wanafunzi wake. Katika mazingira yenye utulivu na nidhamu, walimu mahiri na wenye moyo wa kujitolea hufundisha kwa ubunifu na shauku, wakiwapa wanafunzi msingi imara wa maarifa, ujuzi wa maisha na ari ya kufanikiwa.

MKUU ROMBO PRE&PRIMARY SCHOOL

Ni shule ya awali na msingi iliyoko katika kijiji cha Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Shule yetu inalenga kutoa elimu bora na mafunzo ya msingi kwa watoto wadogo, kuanzia darasa la chekechea hadi darasa la saba, kwa kufuata mitaala ya serikali kwa ufanisi na ubora.

MATUKIO YETU(KLPKT)

SHEREHE YA WATOTO KILPK DAR ES SALAAM HOUSE OF GRACE CHURCH(HOG)

SEMINA YA WATU WOTE & MAKANISA YOTE . KILIMANJARO, MARANGU(KLPKT)

KONGAMANO LA WATOTO MAKANISA YOTE KILIMANJARO MARANGU(KLPKT)